TENSES ENGLISH TO SWAHILI “Perfect” Prepared By, ©Joseph E. Mduwile josephmduwilejoseph4@gmail.com +255628190513/+255766249870 Concept of tense A ccording to R.Mgude & G.Mhiche (2008):Tenses; English to Swahili,G&R pubrishers.DSM defined tense as any of the verb forms that indicates the time of action as Past, Present or future. Other stated tense as relationship between time and action. Dhana ya nyakati/Njeo ; Kutokana na kitabu cha R.Mgude & G.Mhiche (2008):Tenses;English to Swahili,G&R pubrishers.DSM kimefafanua njeo kama, ni muundo wa kitenzi/vitenzi ambavyo huonesha wakati wa kutenda au kutendewa kama wakati Uliopita, uliopo au ujao. Wengine wanasema Njeo ni uhusiano uliopo kati ya muda na tendo/tukio. TENSES DIVISION/ MGAWANYO WA NJEO There are three main parties of tenses/ Njeo imegawanyika katika sehemu kuu tatu I. ...
βπ ππΌβββππππΎπ, βπ π»πΌππΌππβππΌβπ